Wednesday, January 13, 2016

JICHO LA TANGAKUMEKUCHA MITAANI

  Mfanyabiashara wa Matikitimaji barabara ya 8 Ngamiani Tanga, Juma Issa, akipanga matunda yake kusubiri wateja, Halmashauri ya jiji la Tanga kupitia kitengo cha Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kujikinga na ugonjwa wa Kipindupindu kwa kuweka mazingira ya usafi maeneo yao pamoja na kuosha matunda kabla ya kula.
Wataalamu wa afya Tanga wamekuwa wakipaza sauti kupitia vyombo mbalimbali vya matangazo ikiwemo gari la matangazo kupita mitaani kuwaelimisha wananchi juu ya kuweka mazingira safi na kuweza kujikinga na Kipindupindu




No comments:

Post a Comment