Tuesday, January 26, 2016

NAJITAMBULISHA KWENU WAAANDISHI


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Mihayo Msikhella, akijitambulisha kwa waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Zuberi Mombeji aliehamia Ruvuma ambapo makamanda hao wamebadilishana Mikoa.
Msikhela alisema amekuja Tanga kufanya kazi na hatukuwa na mchezo na kuwa mkali pale atakapoona mambo yanaenda kombo.
Aliwataka wananchi wa Mkoa huo kumpa ushirikiano ili kuweza kutekeleza majukumu yake kwa maslahi ya Mkoa na Taifa



No comments:

Post a Comment