Friday, January 29, 2016

BIASHARA SANAA

  Mkazi wa Gombero Wilayani Mkinga Tanga aliejitambulisha kwa jina la Hussein Hamis, akipandisha mlima wa Utofu akiwa amesheheni  matenga alopakiza katika baskeli kupeleka soko la NgamianiTanga mjini, Tenga  moja alikuwa akiuza 10,000 hadi 15,000 kulingana na ukubwa wake.
Utengenezaji wa matenga Tanga umekuwa ukifanywa na wakazi wa Wilaya ya Mkinga hada Tarafa ya Maramba na vijiji vya Doda, Mjasani, Horohoro na Mwakijembe na wengi wamekuwa wakiendesha maisha yao kupitia sanaa hiyo

No comments:

Post a Comment