Liverpool yatoana jasho na Manchester City uwanjani Anfield
kufunzi wa
Liverpool Jurgen Klopp anasema kuwa Phillipe Coutinho anaendelea kupata
nafuu katika jeraha la kifundo cha mguu lakini anatarajia kwamba
hatoshiriki katika mechi mbili zijazo.Mshambuliaji wa wa Manchester City Sergio Aguero atashiriki katia mechi dhidi ya manchester City baada ya kuhudumia marufuku ya mechi nne.
Beki John Stones pia huenda akashiriki baada ya kupona jeraha la goti ,lakini Leroy Sane na Vincent Kompany bado wanaendelea kuuguza majeraha.
Mkufunzi wa Liverpool amesema: Manchester City wana wachezaji wazuri uwanjani na wachezaji wazuri katika benchi.
Naye Pep Guardiola amesema kuwa Liverpool ni miongoni mwa timu ambazo zitapigania taji la ligi msimu huu.























Takriban watu 50
wamekufa na wengine maelfu kadhaa wameachwa bila makazi baada ya
mafuriko makubwa kutokea kusini magharibi mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi
ya Kongo.













































