Thursday, December 22, 2016

SOKO LA MITI SOKO LA UZUNGUNI TANGA WASUASUA


Wafanyabiashara wa miti ya kupamba Majumbani na Ofisini soko  Uzunguni Tanga wakipanga miti yao kusubiri wateja. Mti walikuwa wakiuza 2,000 hadi 3,000.
Kila mwisho wa mwaka watu wengi majumbani na maofisini hupamba kwa kutumia miti . 






No comments:

Post a Comment