Friday, December 9, 2016

AIR FORCE ONE NI GHALI ZAIDI

 Air Force One ni ghali mno?2016

Air Force One ikiingia Cuba mnamo Machi 20 mwaka 2016Air Force One ikiwa kituo cha Joint Base Andrews huko Maryland tarehe 6 Disemba mwaka 2016Serikali ya Marekani inatarajiwa kutumia takriban dola bilioni 3.2 kwa maradi wa kuuunda ndege mpya ya Air Force One - jambo ambalo halijamfurahisha Donald Trump
Rais huyo mteule alisema kuwa ni wakati wa kufuta kandarasi ya kujenga ndege hiyo, ambayo kawaida hugharimu dola milioni 378.5 kwa ndege kawaida kama hiyo kwa mashirika ya ndege.
Lakini mbona ndege hiyo maarufu zaidi duniani ni ghali mno? inayopewa ndege ya kijeshi ambayo wakati huo umembeba rais.
Ndege ya sasa, ilianza kutumiwa miaka ya tisini na muda wake wa kutumika unaelekea kikomo, kwa hivyo ndege nyingine aina ya Boeng 747 -8 imeagizwa na jeshi la Marekani
Ukisema kuwa rais anasafiri kwa ndege ya 747-200 haileti picha kamili. Air Force One haswa ni iina ya ndege ya kijeshi ya VC-25A.
Muundo wake umechorwa kwa njia maalum na kuiwezesha ndege hiyo kuwa kama makao ya rais ikiwa Marekani itashambuliwa

No comments:

Post a Comment