Thursday, December 15, 2016

MPIRA WA NETIBOLL UNADAKWA HIVI


Wachezaji wa timu ya Netboll ya Makao makuu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na wachezaji wa timu ya Mtwara wakigombea mpira wakati wa michezo ya tano ya mamlaka hiyo inayofanyika viwanja vya Popatlal Tanga. leo.



No comments:

Post a Comment