Friday, December 9, 2016

FAHAMU ATHARI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Mambo ya kufahamu kuhusu vidonda vya tumbo

1.Ugonjwa wa vidonda vya tumbo mara nyingi  husababishwa  na vimelea aina ya bakteria waitwao Helicobacter pyroli

2.Bakteria hawa huenezwa kwa njia ya mate toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

3.Mtu mwenye maambukizi sugu ya hao bakteria yuko katika hatari ya kupata saratani ya tumbo.

4.Watu wenye kundi O la damu  (blood group O) wana kiwango cha juu cha kupata vidonda vya tumbo

5.Maambukizi ya vimelea hao hutibiwa kwa dawa za aina tatu.

6.Matibabu hupunguza kiwango cha kupata saratani lakini hayaondowi kabisa uwezekano.
SOURCE MGBLOG

No comments:

Post a Comment