Saturday, December 24, 2016

POLISI TANGA YAJIPANGA KUKABILIA NA WAKOROFI SIKUKUU YA KRISMASS NA MWAKA MPYA



Kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Benedickti Wakulyamba akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo kuzungumzia jeshi hilo kuimarisha ulinzi vipindi vyote vya Sikukuu ya Krismass na Mwaka mpya.
Alisema jeshi hilo limejipanga na kutoa tahadhari kwa watu ambao watatibua sherehe hizo wakiwemo madereva wa bodaboda na waendesha magari.
Aliwataka madereva kuacha kutumia vilevi na kuacha kupakiza mishkaki na kuwataka watumiaji w abarabara za miguuu kuzingitia sheria za barabarani kwa kukatisha maeneo ambayo yako na michro (Pundamilia)




No comments:

Post a Comment