Monday, December 26, 2016

SOBA HAUSE WAPATIWA MAGODORO 10 NA KANISA LA GLORY LAND LA SABASABA TANGA



Waathirika wa madawa ya kulevya kituo cha Soba House cha Mwahako Tanga wakibeba magodoro 10 yaliyotolewa na Kanisa la Glory land la  Sabasaba mjini Tanga juzi wakati wa sherehe ya Sikukuu ya Krismass.
Msaada huo umetolewa ikiwa ni kupunguza changamoto za malazi katika kituo hicho pamoja na mambo mengine pia wamepewa zawadi mbalimbali kwa mnasaba wa siku hiyo  .





No comments:

Post a Comment