Wednesday, December 14, 2016

MAADHIMISHO WIKI YA NENDA KWA USALAMA TANGA



 Askari wa usalama barabarani na wananchi wa Tanga wakiwa katika maandamano Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika Kimkoa uwanja wa Tangamano Tanga jana.



 Mwalimu Chuo cha Ufundi Stadi (VETA), Vivian Shirima, akimpa maelezo Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Thobias Mwailapwa katika banda la maonyesho la Chuo hicho wakati wa Maadhimisho ya Wiki Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika Kimkoa uwanja wa Tangamano jana.



No comments:

Post a Comment