Wednesday, December 28, 2016

SHIDA YA MAJI YAWAAMSHA SAA 9 NUSIKU KIJIJI CHA JARIBU PONGWE TANGA



Wakazi wa kijiji cha Jaribu kata ya Kichangani halmashauri ya jiji la Tanga wakisubiri maji yanayotoka katika tenki. Wakazi hao huamka saa 10 usiku kusubiri maji ambayo kipindi hiki cha kiangazi upatikanaji wake ni wa shida.





Mkazi wa kijiji cha Jaribu kata ya Kichangani halmashauri ya jiji la Tanga akiswaga maji kwa kutumia gari la Punda. Kijiji hicho kimekubwa na ukame wa maji  kipindi hiki cha kiangazi.

No comments:

Post a Comment