Thursday, December 8, 2016

WAMACHINGA MTAA WA KONGO JIJINI DAR ES SALAAM.

 WAFANYABIASHARA maarufu kama Wamachinga mtaa wa Kongo jijini Dar es Salaam, wakifanya biashara zao barabarani na kusababisha msongomano wa watumiaji wa barabara hiyo wakiwmo wenye vyombo vya moto kero kwa wenye maduka.




Kwa habari, elimu na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment