Saturday, December 17, 2016

MGAMBO JKT WAJIFUA KUMENYANA NA SINGIDA UNITED KESHO MKWAKWANI



Kocha wa Mgambo JKT, Athumani Kairo, akiwapa mawaidha wachezaji wake mara baada ya kufanya mazoezia uwanjwa wa Shule ya Sekondari ya Popatlal kujiandaa na mechi ligi daraja la kwanza Tanzania Bara.
Timu hiyo kesho itashuka uwanjani Mkwakwani kumenyana na Singida United.





No comments:

Post a Comment