Ndege ya jeshi la Urusi, iliyobeba
watu zaidi ya 90, imeanguka katika bahari ya Black Sea , punde baada ya
kuondoka Sochi, ikielekea Syria.Meli, helikopta, na ndege zisozokuwa na rubani zinaitafuta ndege hiyo. Mabaki ya ndege yamepatikan kilomita moja na nusu kutoka mwambao.
BBC
No comments:
Post a Comment