Saturday, October 17, 2015

KIPUTE LEO VIWANJANI, MATOKEO NINAYO HAPA

Full Time ya mechi zote 6 za Tanzania bara Oct 17! nani kapiga nyingi? msimamo wa ligi je?


Ni mechi za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambapo leo October 17 2015 zilichezwa mechi sita kwenye viwanja tofauti huku Stand United ikiongoza kwa kuwa timu iliyoshinda goli nyingi kwenye mechi za leo.
tff 2
List ya timu zote kwenye picha pamoja na msimamo wa ligi ni kutoka tff.or.tz
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment