Monday, October 26, 2015

MSHIKEMSHIKE JIMBO LA TANGA MJNI, WAFUASI WA CUF WATAWANYWA KWA MABOMU

 Wafuasi wa Chama Cha Wananchi CUF jimbo la Tanga mjini wakiwa wamefurika katika barabara nje ya jengo la halmashauri ya jiji la Tanga wakisubiri matokeo ya mgombea wao , Musaa Mbarouk ambaye alitangazwa mshindi jana dhidi ya Omari Nundu wa CCM ambapo mara baada ya kutangazwa wafuasi hao walitawanywa kwa mabomu ya machozi

















No comments:

Post a Comment