Wednesday, October 21, 2015

REAL MADRID KLABU TAJIRI DUNIANI

Real Madrid klabu tajiri barani Ulaya …

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA October 21 wametangaza vilabu tajiri barani Ulaya baada ya kufanya utafiti kuhusu utajiri wa vilabu wanachama wa shirikisho hilo. October 21 mitandao kadhaa ya soka imetangaza kuhusu klabu ya Real Madrid ya Hispania kuongoza katika list ya vilabu tajiri licha ya kuwa bado inatajwa kuwa klabu yenye kikosi chenye thamani zaidi.
real-madrid-ronaldo_3366661
UEFA wametaja vilabu vinavyoongoza kwa utajiri Real Madrid ya Hispania imeshika namba moja kwa kuwa na utajiri unaofikia euro milioni 550 huku klabu ya Manchester United ipo nafasi ya pili kwa kuwa na utajiri wa euro 519, FC Bayern Munich ya Ujerumani imeshika nafasi ya tatu kwa utajiri euro milioni 486 na FC Barcelona nafasi ya nne kwa utajiri wa euro milioni 485.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment