Thursday, October 22, 2015

MATOKEO UWANJA NI LEO, OCT 22

Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 22

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea tena leo October 22 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja vinne,  JKT Ruvu walikuwa wenyeji wa  Mtibwa Sugar ya Morogoro katika uwanja wa Karume wakati Ndanda FC walikuwa wenyeji wa Azam FC katika uwanja wa Nangwanda.
Mwadui FC ya Shinyanga inayofundishwa na Jamhuri Kiwelu ilikuwa mwenyeji wa Mgambo Shooting ya Tanga katika uwanja wa Mwadui wakati Mbeya City ilikuwa mwenyeji wa African Sports ya Tanga katika uwanja wa Sokoine Mbeya.
IMAG0031 (1)
Matokeo ya mechi za leo October 22
Kwa habarim, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment