Tuesday, October 20, 2015

KIPUTE UWANJANI LEO, NA KESHO

Ratiba za mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya zitakazochezwa Jumanne ya Oct 20 na Jumatano ya Oct 21


Bado michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo October 20 na kesho October 21 kwa michezo 16 kupigwa katika viwanja tofauti tofauti barani Ulaya. Miongoni mwa michezo itakayochezwa Jumanne ya October 20 ni mechi kati ya Arsenal dhidi ya FC Bayern Munich, huu ukiwa ni mcheozo wa tatu kwa klabu zote mbili. Nimekusogezea ratiba ya michuano hiyo ya mechi zitakazochezwa Jumanne ya October 20 na Jumatano ya October 21 pamoja na msimamo wa Makundi yote.
UEFA 1
Ratiba ya mechi za Jumanne ya October 20, mechi ambazo zitachezwa Saa 21:45 kwa saa za Afrika Mashariki.
UEFA 2
Ratiba ya mechi za Jumatano ya October 21, mechi ambazo zitachezwa Saa 21:45 kwa saa za Afrika Mashariki.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment