Thursday, October 29, 2015

NI POMBE MAGUFULI


20151029060849

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kuwashinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne wa siwasa UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848 sawa na asilimia 39.97.
????????????????????????????????????

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment