Monday, October 19, 2015

WAANDISHI, SIKILIZENI

 Kocha Mkuu wa Kagera  Sugar, Mbwana Makata, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika mchezo dhidi ya Mgambo JKT uwanja wa CCM Mkwakwani jana ambapo timu yake ilifungwa mabao 2 -0.


  Kocha Mkuu wa Mgambo JKT, Bakari Shime, akizunngumza na waandishi wa habari uwanja wa Mkwakwani jana mara baada ya kumalizika pambano lake na timu ya Kagera Sugar ambapo timu yake iliibuka kwa mabao 2—0.


No comments:

Post a Comment