Sunday, October 18, 2015

NI FULL TIME , MGAMBO 2, MTIBWA SUGAR O

 Timu ya soka ya Mgambo JKT imeutumia vyema uwanja wake wa nyumbani baada ya kuibugiza bila huruma timu ya Mtibwa Sugar kwa mabao 2 bila  na kuwafuta machozi washabiki wa Tanga baada ya Coastal Union na African Sports kuendelea kupewa dozi kila inapocheza.
Ni Full Maganga ndie aliekuwa akiwaenua washabiki uwanjani kwa kufunga bao la kwanza dakika ya 50 kwa kuunganiasha pasi safi na kuingiza kimiani.
Dakika ya 90 aliunganisha kwa kichwa jalo safi na kuamsha shangwe  na hadi kipenga Mgambo 2 na Mtibwa wakata miwa kuambulia 0.





No comments:

Post a Comment