Wednesday, October 21, 2015

VIWANJA 10 VILIVYO HOI DUNIANI

 Viwanja 10 vya Ndege vilivyo kwenye hali mbaya zaidi Duniani mwaka 2015


Usafiri salama zaidi namba moja Duniani ni Usafiri wa anga, YES.. lakini kuna umuhimu pia kujua Wasafiri wa anga wanachukuliaji mazingira ya huduma za usafiri pamoja na viwanja vya Ndege !!
Ripoti imepatikana baada ya Utafiti kufanyika Mtandaoni, Wasafiri waliambiwa watoe maoni kuhusu Viwanja vya Ndege vilivyo na hali mbaya zaidi na vinatoa huduma ambazo haziridhishi.
Majibu ya Ripoti yamevitaja Viwanja vyenyewe, hapa nimekusogezea list ya Viwanja vyote kumi, Afrika kimetajwa kimoja.
1. Port Harcourt International Airport (Nigeria)
2. King Abdulaziz International Airport (Jeddah, Saudi Arabia)
3. Tribhuvan International Airport (Kathmandu, Nepal)
4. Tashkent International Airport (Uzbekistan)
5. Simon Bolivar International Airport (Caracas, Venezuela)
6. Toussaint Louverture International Airport (Port au Prince, Haiti)
7. Hamid Karzai International Airport (Kabul, Afghanistan)
8. Tan Son Nhat International Airport (Ho Chi Minh City, Vietnam)
9. Benazir Bhutto International Airport (Islamabad, Pakistan)
10. Beauvais-Tille International Airport (Paris, France)
Kwa habari, matukio na michezo ni hapaha tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment