Monday, October 19, 2015

USHER RAYMOND ANUSA WHITE HOUSE

Obama na Mkewe walivyomwimbia Usher Raymond wimbo wa birthday ndani ya Ikulu ya White House..

Hii ilikuwa kama zali tu kwa staa wa R&B Marekani, Usher Raymond ambaye alialikwa ndani ya Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kutoa burudani, birthday yake ikamkuta akiwa humohumo ndani ya Ikulu.
Usher aikuwa ameongozana pia na mastaa wengine kutoa burudani hiyo ikiwemo akina Queen Latifah pamoja na Smokey Robinson… lakini Rais Barack Obama na mkewe, Michelle Obama walimpa surprise kwa kumwimbia halafu ikaletwa cake ikiwa na mshumaa mmoja juu unaowaka.
Kwa habarui, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment