Saturday, October 24, 2015

SOKA UWANJANI LEO, UINGEREZA NA SPAIN

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza na Hispania October 24 na 25 …


Tanzania bado kuna homa ya uchaguzi mkuu kila mtu macho na akili zake kaelekeza katika siasa kwa sababu masaa yanahesabika kufikia ule muda wa kupiga kura. Kwa upande wa michezo Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limesimamisha michezo ya Ligi Kuu kwa weekend hii ili iweze kutoa fursa kwa mashabiki na wachezaji kupiga kura. Barani Ulaya Ligi Kuu ambazo tunazipenda zitaendelea kama kawaida kwa upande wa Uingereza na Hispania. Hii ni ratiba kamili ya mechi za weekend hii.
epl oct 24
Ratiba za mechi za Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki
  • Aston Villa Vs Swansea Saa 17:00
  • Leicester Vs Crystal Palace Saa 17:00
  • Norwich Vs West Brom Saa 17:00
  • Stoke Vs Watford Saa 17:00
  • West Ham Vs Chelsea saa 17:00
  • Arsenal Vs Everton Saa 19:30
Jumapili October 25
  • Sunderland Vs Newcastle Saa 14:00
  • Bournemouth Vs Tottenham Saa 16:05
  • Man Utd Vs Man City Saa 16:05
  • Liverpool Vs Southampton Saa 18:15
Laliga oct 24
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania kwa saa za Afrika Mashariki
  • Celta de Vigo Vs Real Madrid  Saa 17:00
  • Granada CF Vs Real Betis Saa 19:15
  • Sevilla Vs Getafe Saa 21:30
  • Málaga Vs Deportivo de La Coruña Saa 23:05
Jumapili ya October 25
  • Levante Vs Real Sociedad Saa 13:00
  • Las Palmas Vs Villarreal Saa 17:00
  • Barcelona Vs Eibar Saa 19:15
  • Atl Madrid Vs Valencia Saa 21:30
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment