Monday, October 19, 2015

MARCELLO APEWA TANO BARCELONA



Beki Marcelo wa Real Madrid amefikisha dakika 810 akiichezea timu yake kwa mafanikio makubwa.

Marcelo amepewa asilimia 90 za ubora katika mechi zote alizocheza, hali inayomfanya kuwa bora kuliko wote.

Wawili, Cristiano Ronaldo na Kipa Keylor ndiyo wanaonekana kumfukuzia kwa kiwango bora kwa sasa.
Beki huyo Mbrazil anaaminika kuwa kiboko cha wachezaji wengi mahiri.

Lakini ukiachana na hivyo, anaongoza kwa kupiga krosi nyingi kutoka pembeni na zenye mafanikio makubwa.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment