Sunday, October 18, 2015

MGAMBO JKT YAONGOZA BAO 1 LILILOFUINGWA NA FULL MAGANGA DAKIKA YA 65



                                        
 Mshambuliaji wa Mgambo JKT, Chande Maguja (12) akimtoka kiuongo wa Kagera Sugar, Mbaraka Yusuph, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzaania Bara (Vodacom) uwanja wa CCM Mkwakwani Leo.


  Beki wa Kagera Sugar, Salim Kanoi, akimtoka mshambuliaji wa Mgambo JKT, Full Maganga wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (Vodacom) uliochezwa leo uwanja wa CCM  Mkwakwani
Mshambuliaji wa Kagera Sugar, George Kavilla, akimtoka mshambuliaji wa Mgambo JKT, Chande Magoja wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (Vodacom) uliochezwa uwanja wa CCM Mkwakwani leo

No comments:

Post a Comment