Wednesday, October 28, 2015

TUNANGALIA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU



Wakazi wa Tanga na vitongoji vyake wakiangalia kurasa za magazeti mwanzo mwisho matokeo ya Udiwani, Ubunge na Urais baada ya uchaguzi uliofanyika October 25   barabara ya 15 Ngamiani Tanga Leo. Watu wengi wako na shauku ya kujua kinachoendelea na wamekuwa wakiangalia magazeti na vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo TV.









No comments:

Post a Comment