Monday, November 21, 2016

CHEMBA YA MAJI TAKA YAWATIA KIWEWE WAKAZI WA MTAA WA USAGARA TANGA


Chemba ya maji taka  ikitiririsha uchafu barabarani mtaa Usagara shule ya Sekondari ya  Usagara Tanga na kuleta hofu kwa wakazi wa eneo hilo  kupatwa magonjwa ya miripuko kwa kutoa harufu mbaya inayoleta kero kwa watumiaji wa  njia hiyo.
Chemba hilo ambalo kwa muda mrefu halijapatiwa ufumbuzi jambo ambalo linazidisha hofu mtaani hapo.
 Hata hivyo baadhi ya watu waliozungumza na mtandao huu wa kijamii wamewataka wananchi inapotokea tatizo la machemba kutiririsha uchafu katika makazi ya watu kutoa taarifa katika mamlaka husika ili kuepusha madhara ya kupatwa magonjwa ya miripuko .






No comments:

Post a Comment