Saturday, November 26, 2016

LEO NI LEO, MASUMBWI TANGAMANO HAPATOSHI.



Bondia uzani wa Midle, Saimon Zablon akipima uzito kujiandaa na pambano lake na Said Muni (kulia) kugombea mkanda katika pambano lao litakalofanyika leo  ukumbi wa Tangamano Tanga.
Kabla ya kugombea mkanda huo kutakuwa na mapambano ya utangulizi matano  kwa uzani mbalimbali.






Bondia wa uzani wa middle, Said Muni, akipima uzito kujiandaa na pambano lake na Saimon Zablon (kulia) kugombea mkanda katika pambano lao litakalofanyika leo  ukumbi wa Tangamano Tanga.

No comments:

Post a Comment