Wednesday, November 9, 2016

WANAFUNZI SHULE YA MSINGI BOMBO TANGA WAHAMISHWA KWA UCHAKAVU WA MAJENGO


Wanafunzi wa shule ya msingi Darajani Tanga wakipitia pembezoni mwa shule ya msingi ya Bombo ambayo wanafunzi wake wamehamishwa na kuhamia Darajani kutokana na uchakavu wa majengo yake.
Shule hiyo toka wanawafunzi walipohamishwa yapata miaka miwili bado haijafanyiwa ukarabati.






No comments:

Post a Comment