Thursday, November 10, 2016

UJENZI WA JUKWAA UWANJA WA DE SOUZA, TANGA



Mafundi wakikarabati moja ya jukwaa la uwanja wa mpira wa  miguu wa Desouza Tanga ambao kuta na ngazi zake zimepasuka na kubomoka, uwanja huo ambao uko na jukwaa la upande mmoja ulijengwa mwaka 1950 na umekuwa ukitumika kwa mazoezi ya timu ya Coastal Union.






Fundi Salmin Omari akikarabati moja ya jukwaa la uwanja wa mpira wa  miguu wa Desouza Tanga ambao kuta na ngazi  zake zimepasuka na kufanya mashimo , uwanja huo ambao uko na jukwaa upande mmoja umejengwa mwaka 950 na umekuwa ukitumika kwa mazoezi ya timu ya Coastal Union.

No comments:

Post a Comment