Monday, November 28, 2016

SHULE YA MSINGI KANGE TANGA



Diwani kata ya Mawezi halmashauri ya jiji la Tanga, Joseph Collivas na viongozi wa kata yake wakiangalia chemba ya choo shule ya msingi Kange ambacho kimebomoka na kuhatarisha usalama wa wanafunzi shuleni hapo.




  Wanafunzi sshule ya msingi Kange Tanga wakiangalia Shimo la Choo kilichobomoka na kuhatarisha usalama wa wanafunzi shuleni hapo.

 Wanafunzi wa shule ya msingi ya Kange halmashauri ya jiji la Tanga wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya ukabidhianaji wa vyumba viwili vya madarasa na vyoo matundu mawili pamoja na madawati 50 vyenye thamani zaidi ya shilingi miloni 76 vilivyotolewa na Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga juzi


No comments:

Post a Comment