Thursday, November 10, 2016

WAANDISHI, KAZI NA DAWA

 Waandishi wa habari wa Radio Nouur fm ya Tanga , Kaimite na Mpiga Picha wa ITV, Mossess Franciss, wakipata madafu nje ya Ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Muheza mara baada ya kikao cha Mkuu wa Wilaya ya hiyo, Mwanasha Tumbo.
Mwanasha Tumbo alikuwa na kikao maalumu cha kupokea michango ya wahanga wa Tetemeko la Ardhi Ngara ambapo jumla ya shilingi milioni tatu na nusu pamoja na vifaa mbalimbali alipokea






No comments:

Post a Comment