Tuesday, November 22, 2016

LEO NI MTIHANI WA TAIFA DARASA LA NNE


Wanafunzi wa darasa la nne  shule ya Jabir Bin Zaid English Midium School  barabar ya 7 Tanga wakipanga meza na viti kujiandaa na mtihani wa Taifa leo.
Tangakumekucha inawatakia wanafunzi wote nchi mitihani mwema na Mungu awajaze ufahamu na kuwza kufaulu (AMIN)





No comments:

Post a Comment