Saturday, November 26, 2016

KUMEKUCHACHA TANGA MASHINDANO YA SHIMMUTA



Mchezaji wa timu ya Basketboll GGM kutoka Geita akitafuta upenyo wa kumtoka mchezaji wa timu ya Tanesco kutoka Dar wakati wa michezo ya SHIMMUTA iliyoanza juzi Tanga.
Mashindano hayo yalifunguliwa na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni, Nape Nauye.





  Wachezaji w atimu ya Tanesco kutoka Dar wakogombea mpira na wachezaji wa timu ya Geita GGM wakati wa michezo ya SHIMMUTA iliyoanza juzi Tanga.

 Wachezaji wa timu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Tsheti nyekundu wakishindana kuvuta kamba na timu ya Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu (DUSE) wakati wa michezo ya SHIMMUTA iliyoanza juzi uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Wachezaji wa timu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakishangilia kuwashinda timu ya Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu (DUSE) wakati w amichezo ya SHIMMUTA iliyoanza juzi uwanja wa Mkwakwani.

No comments:

Post a Comment