Tuesday, November 22, 2016

RAHA NA VITUKO UWANJANI, MUHEZA NA SAFI YA DAR UWANJA WA MKWAKWANI



Washabiki wa timu ya Muheza United inayoshiriki ligi ya Shirikisho  ya Azam wakishangilia timu yao kwa staili ya aina yake wakati ilipopambana na timu ya Safi Politan kutoka Dar es Salaam uwanja wa Mkwakwani juzi, Muheza iliibuka na ushindi wa mabao 2, 1.





 Kipa wa timu ya Safi Politan ya Dar inayoshiriki ligi ya Shirikisho, Idrisa Ramadhani akitolewa nje ya uwanja baada kugongana na wachezaji wakati akiokoa mpira wa kona, Muheza United ilishinda 2  , 1.

No comments:

Post a Comment