Thursday, November 17, 2016

TUNAELEKEA KUVUA



Wavuvi wa samaki baharini wakiianza safari kutoka bandari ya Deep Sea Tanga   kuelekea pwani. Baadhi ya wavuvi wanalalamika kukosa vifaa vya kisasa vya kuvulia na kutegemea zana za zamani ikiwemo madema na ndoana.






No comments:

Post a Comment