Sunday, November 27, 2016

KIFUSI CHA UDONGO CHATEKELEZWA NA KULETA KERO KWA WAKAZI WA MTAA WA NGAMIANI



Kifusi cha udongo mfinyazi kikiwa kimetekelezwa barabara ya 21 Ngamiani Kusini Tanga na kuleta kero kwa watumiaji wa magari na wapita kwa miguu, Kifusi hicho kipo muda mrefu na wakati wa mvua hufanya tope na maji kushindwa kupita.
Baadhi ya wakazi wa mtaa huo waliozungumza na tangakumekuchablog wamedai  kifusi hicho kipo muda mrefu na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa licha ya kutia taarifa mamlaka husika







No comments:

Post a Comment