Sunday, November 13, 2016

MSIMU WA MAEMBE, YAKOSA SOKO WAFANYABIASHARA WALALAMIKA, MLANGO WA CHUMA TANGA


Maembe aina ya aple yakiwa yamerundikana soko la mlango wa Chuma Masiwani Tanga baada ya kukosa soko, Wafanyabiashara hao wamelalamikia soko na kupelekea kuuza kwa mteja mmoja mmoja kuepuka  hasara na  kuwaozea mikononi.





No comments:

Post a Comment