Saturday, November 19, 2016

TIZI LA QUEEN FAIR PLAY YA TANGA



Wachezaji wa timu ya Wanawake ya Tanga inayoshiriki ligi ya Taifa , Queen Fair Playa, wakifanya mazoezi uwanja wa De Souza kujianda na michezo ya ligi hiyo.
Timu hiyo iliyoianza ligi kwa kasi imekuwa ikitandaza soka na kuwavutia wapenzi wengi wa mchezo wa mpira wa miguu baada ya kaka zao Coastal Union na African Sports zote za Tanga pamoja na Mgambo kushuka daraja.
Wengi wameona ni vyema kuiunga mkono timu hiyo ambayo baadhi wa wapenzi wa mpira wamedai kuwa wamekuwa wakicheza vizuri zaidi ya timu hizo zilizoshuka daraja.






No comments:

Post a Comment