Sunday, November 20, 2016

MAHAFALI YA 16 CHUO CHA TANGA CHRISTIAN COLLEGE CHA KANGE TANGA YAFANA



Wahitimu wa mahafali ya 16 Chuo cha Tanga Christian College cha Kange Tanga,  wa fani ya Stashahada na Astashahada wakisali wakati wa mahafali ya 16 Chuoni hapo jana, jumla ya wahitimu 20 walimaliza masomo yao na kupewa vyeti.






Wahitimu wa masomo ya Astashahada na Stashahada wakiwa katika mahafali yao yaliyofanyika

No comments:

Post a Comment