Matetemeko mawili yalivyoipiga New Zealand leo Jumatatu
Masaa
machache baada ya kutokea Tetemeko lenye ukubwa wa Richa 7.8 katika
eneo la Cheviot Kaskazini mwa Christchurch huko New Zealand na kuua watu
wawili, imeripotiwa kutokea Tetemeko lingine nchini humo lenye ukubwa
Richa 6.3 katika eneo la South Island.
Tetemeko hilo limetokea leo Jumatatu November 14, 2016 umbali wa maili 60 kutoka eneo Christchurch, baada ya tetemeko lingine lilikuwa na mgandamizo wa Tsunami kuipiga New Zealand usiku wa kuamika Jumatatu.
millardayo
No comments:
Post a Comment