Friday, November 25, 2016

UMOJA NI NGUVU, WANAWAKE NA MAENDELEO, LUSHOTO TANGA



 Wajasiriamali wanawake wa kikundi cha Mshikamano Lushoto Mkoani Tanga wakichoma matofali ya udongo, Tofali moja huuza kwa shilingi 500.
Wanawake wengi Wilayani Lushoto wamejiunga na vikundi vya umoja na kuunda Saccoss na kuweza kukopeshana na kuendesha maisha yao na kuondokana na utegemezi.







No comments:

Post a Comment