Friday, November 25, 2016

WAZIRI MKUU JIMBO LA TELENGANA INDIA AJIPA RAHA

Waziri ahamia katika nyumba yenye choo cha kuzuia risasi IndiaJumba la waziri mkuu wa Telangana nchini India

Waziri mkuu wa jimbo la Telangana nchini India amezua hisia baada ya kuhamia katika nyumba mpya inayogharimu walipa kodi dola milioni 7.3.
Jumba hilo lina ukubwa wa mita 9,000 mraba katika mji wa Hyderabad.
BBC

No comments:

Post a Comment