Saturday, November 12, 2016

MVUA YA MASAA 12 TANGA YALETA KIZAZAA

 KUFUATIA mvua kubwa iliyonyesha usiku na mchana jana jijini Tanga, imekuwa kero kwa baadhi ya mitaa kufurika maji na kupelekea mitaa kufungwa kwa staili ya mikokoteni ili kuepusha magari na vyombo vya moto na wapita kwa miguu kutumbukia katika mifereji na mitaro.
Mvua hiyo ambayo ilinyesha mfululizo na kupelekea baadhi ya maduka barabara ya 6 hadi saba kuingia maji na kufungwa kwa masaa.




Mlemavu wa miguu akisukubwa kwenye maji yaliyojaa barabara ya kwanza Ngamini Tanga, mlemavu huo  alipita kwa shida baada ya baiskeli yake kukwama katikatika ya maji na kuokolewa na wasamaria wema .

No comments:

Post a Comment