China kutengeneza meli inayofanana na 'Titanic'
Mashua s
iliyotengenezwa katika mji mkuu wa Belfast huko Ireland ya Titanic
itawekwa katika eneo la kumbukumbu la theme park nchini India.Ujenzi huo uliaza siku ya Alhamisi.
Mashua ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast , iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 hatua iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500.
Mashua hiyo ilikuwa katika safari yake kutoka Southampton ikielekea New York.
Habari kuhusu meli hiyo ni swala ambalo liliwashangaza raia wengi kutoka China.
Bilionea mmoja kutoka Australia, Clive Palmer, alitangaza mipango yake ya kutengeneza mashua kama ya Titanic mwaka 2012, lakini mradi huo bado haujakamilika.
No comments:
Post a Comment