Sunday, December 4, 2016

MABAKI YA MELI YA KIVITA YA UJERUMANI WAKATI WA VITA YA KWANZA YA DUNIA YAOPOLEWA TANGA



Moja ya mabaki ya  tenki la mafuta inayosadikika kuwa  meli ya kivita  ya Kijerumani vilivyopiganwa wakati wa vita ya kwanza ya Dunia likiwa limeopolewa na mabaharia Tanga ikiwa karibu na ufukwe wa bahari ya Deep Sea Tanga. Mabaki ya meli hiyo huyafanya kama chuma chakavu.
Haya ni mabaki ya pili kuopolewa na wazamiaji wa Tanga ambapo mwaja juzi mabaki kama haya yaliopolewa na kuifanya historia hiyo kuwa kivutio cha Utalii Tanga na kwa Taifa.










No comments:

Post a Comment