Friday, May 29, 2015

ALAZIMISHWA KUFUA NGUO, KILICHOFUATIA NI HASIRA NA KUMCHOMA MOTO MAMA YAKE

Alilazimishwa kufua nguo na mama yake, kilichofuata ni Story!

zimbabwe
Si jambo la kawaida kusikia mtoto kamuua mama yake ama mama kamuua mtoto wake, japo kwa miaka ya sasa matukio kama hayo yameshamiri kwa kiasi kikubwa sehemu mbalimbali duniani.
Tukio la mtoto kumuua mama yake leo limechukua headlines huko Zimbabwe baada ya kutokoea kutoelewana baina yao.
Kilichotokea ni kwamba binti wa miaka 17 alimuua mama yake kwa kumchoma moto baada kulazimishwa kufua nguo chafu, kitendo kilichomkasirisha na kufikia uamuzi huo.
Kabla ya kumuua mama yake kwa kumwagia mafuta kisha kumchoma moto, mama yake alimpiga kitendo kilichomuuzi binti huyo  na kufanya uamuzi huo mgumu.
Polisi wamemfungulia mtoto huyo mashtaka ya mauaji licha ya kupewa taarifa kuwa alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa akili.
Kwa habari , matukio na michezo ni hpa hapa tangakumekuchablog itakuhabarisha na kukupa kila kinachojiri ndani na nje ya nchi muda na wakati papo hapo

No comments:

Post a Comment